Jumanne, 6 Juni 2017

Nikki wa Pili ft G Nako hii inaitwa ‘Quality Time’



Leo June 6, 2017 miongoni mwa video mpya za muziki zilizonifikia ni pamoja na hii inayoitwa “Quality Time” kutoka kwa WEUSI ambapo Nikki wa Pili amemshirikisha G nako ikiwa imetayarishwa na Hanscana. Unaweza kutumia dakika zako 3:15 kuitazama mtu wangu.

Unaweza pia kuniachia maonii yako hapo chini ili G Nako na Niki wa Pili wakisoma wajue wadau mmeipokea vipi>>>

About the Author

Ukurasa wetu

Author & Editor

Has laoreet percipitur ad. Vide interesset in mei, no his legimus verterem. Et nostrum imperdiet appellantur usu, mnesarchum referrentur id vim.

Chapisha Maoni

 
Ukurasa wetu © 2015 - Mark Mugan| Designed and Developed by Mark Mugan | call +255 673 111 069