Jumanne, 6 Juni 2017

Waziri Mahiga apokea ujumbe Maalumu kutoka kwa Chancelor Angela Merkel

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kukutana na mjumbe maalumu kutoka nchini Ujerumani Mhe. Balozi Harro Adt aliye leta ujumbe maalumu kutoka kwa Angela Merkel.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bi. Mindi Kasiga pamoja na Mkurugenzi msaidizi wa idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Bw. Deusi Kaganda wakifuatilia kwa makini mazungumzo kati ya Waziri Mahiga na Balozi Adt.
Sehemu ya wajumbe waliofuatana na Balozi Adt (hayupo pichani),
Mkutano ukiendelea
Waziri Mahiga akiagana na Balozi Adt mara baada ya kumaliza mazungumzo.
Waziri Mahiga (wa tatu kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mjembe maalumu Balozi Adt (wa nne kushoto) pamoja na maafisa waandamizi kutoka Wizarani pamoja na Ubalozi wa Ujerumani uliopo hapa nchini.

About the Author

Ukurasa wetu

Author & Editor

Has laoreet percipitur ad. Vide interesset in mei, no his legimus verterem. Et nostrum imperdiet appellantur usu, mnesarchum referrentur id vim.

Chapisha Maoni

 
Ukurasa wetu © 2015 - Mark Mugan| Designed and Developed by Mark Mugan | call +255 673 111 069