Jumatano, 6 Novemba 2013

Balozi Kamala ateuliwa kuwa Mjumbe wa Troika ya Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pacific (ACP)


 
Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya, Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kulia) akizungumza na Balozi wa Sudan Jumuiya ya Ulaya Mhe. Fidail Eltigani.  Balozi Eltigani alifika ofisi za Ubalozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya – Brussels kumweleza Mhe. Balozi Kamala kuhusu uamuzi wa Mabalozi wa ACP kanda ya mashariki wa kumteua kuingia kwenye Troika ya Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pacific.  Balozi Kamala atakaa kwenye Troika kwa kipindi cha miezi kumi na nane (18) na kuanzia Januari 2014 atakuwa mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pacific – Brussels. 

About the Author

Ukurasa wetu

Author & Editor

Has laoreet percipitur ad. Vide interesset in mei, no his legimus verterem. Et nostrum imperdiet appellantur usu, mnesarchum referrentur id vim.

Chapisha Maoni

 
Ukurasa wetu © 2015 - Mark Mugan| Designed and Developed by Mark Mugan | call +255 673 111 069