Balozi Mulamula akimkabidhi Naibu Waziri, Mhe. Kolimba mwongozo wa Umoja huo baada ya kuchaguliwa kuwa Mlezi mpya. |
Sehemu ya Watumishi wanawake wa Wizara ya Mambo ya Nje wakifuatilia kikao. |
Sehemu nyingine ya Watumishi hao wakifuatilia kikao |
Dkt. Kolimba akimkabidhi zawadi Balozi Mulamula. |
Bibi. Mwakawago akimkabidhi Balozi Mulamula zawadi ya picha yake ya kuchorwa. |
Kikao kikiendelea |
Picha ya Pamoja ya walezi na uongozi wa Nje Women |
Picha ya pamoja. |
Chapisha Maoni