Ijumaa, 2 Januari 2015

Hatujamuona muda mrefu Usher Raymond kwenye headlines, leo ipo hii nzuri inayomhusu.

Moja ya mastaa ambao huwa hawatokei sana kwenye headlines za taarifa mbaya ni staa wa  Usher Raymond. Story kubwa ya kwanza inayomhusu tangu 2015 imeanza ni hii taarifa nzuri iliyoenea mitandaoni, Usher Raymond ameamua kumvisha pete ya uchumba mpeRnB,nzi wake ambaye amekuwa kwa kipindi kirefu sasa.
Picha zimemwonyesha Usher akiwa na mpenzi wake huyo anayefahamika kwa jina la Grace Miguel huku mwanamama huyo akiwa amevalia pete ya uchumba
Amenisaidia sana kwenye nyakati ngumu kwenye maisha na kazi yangu… Amenisupport na kunielewa mimi ni nani, sio kama dancer, au muimbaji.. ila kama binadamu na mfanyabiashara…” alisema Usher katika moja ya mahojiano akiwa anamzungumzia Grace.

Usher akiwa na Mpenziwake Grace, Usher kwa muda sasa amekuwa na uhusiano na Grace Miguel ambaye pia Meneja wake, huenda kukawa na good news ya ndoa muda si mrefu kuanzia sasa.

Wakiendelea na Mazungumzo yao. (kwa hisani ya millardayo)

About the Author

Ukurasa wetu

Author & Editor

Has laoreet percipitur ad. Vide interesset in mei, no his legimus verterem. Et nostrum imperdiet appellantur usu, mnesarchum referrentur id vim.

Chapisha Maoni

 
Ukurasa wetu © 2015 - Mark Mugan| Designed and Developed by Mark Mugan | call +255 673 111 069