Alhamisi, 4 Desemba 2014

Picha:Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba Afanya mazungumzo ya saa mbili ya Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe kuhusu masuala ya uongozi na uwajibikaji

Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (kushoto), akizungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe. Masaki Dar es Salaam jana. Picha na Zitto Kabwe
Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba juzi alifanya mazungumzo ya saa mbili ya Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe kuhusu masuala ya uongozi na uwajibikaji baada ya mbunge huyo wa Kigoma Kaskazini kumtembelea nyumbani kwake, Masaki, Dar es Salaam. 

Katika mazungumzo hayo, Zitto pia alimweleza Waziri Mkuu huyo mstaafu maazimio ya Bunge kuhusu uchotwaji wa Sh306 bilioni katika Akaunti ya Tegeta Escrow.

About the Author

Ukurasa wetu

Author & Editor

Has laoreet percipitur ad. Vide interesset in mei, no his legimus verterem. Et nostrum imperdiet appellantur usu, mnesarchum referrentur id vim.

Chapisha Maoni

 
Ukurasa wetu © 2015 - Mark Mugan| Designed and Developed by Mark Mugan | call +255 673 111 069