Ijumaa, 21 Machi 2014

Binti Mfalme wa Sweden awasili nchini kwa ziara ya kikazi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K.

 Membe (Mb.) akimpokea Binti Mfalme wa Sweden, Mtukufu Victoria Lugrid

Alice Desiree mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa

 wa Julius Kambarage Nyerere, nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku

tatu kuanzia Tarehe 19 hadi 21 Machi, 2014.
Mhe. Membe akiwa katika mazungumzo na Binti Mfalme wa Sweden, Mtukufu

Victoria Lugrid Alice Desiree
 mara baada ya kuwasili nchini.

Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo ya Nje na

 Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Dora Msechu kwa pamoja na wajumbe

 walioambatana na Binti Mfalme Victoria Ludrid Alice Desiree nchini

 wakifuatilia kwa karibu mazungumzo kati ya Mhe. Membe na Binti Mfalme

wa Sweden, Mtukufu Victoria (hawapo Pichani).

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo

ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bi. Victoria Mwakasege pamoja na Afisa

 Mambo ya Nje Bi. Tunsume Mwangolombe wakati wa mazungumzo kati ya

 Waziri Membe na Binti Mfalme Victoria Ludrid Alice Desiree (hawapo

pichani)

 Reginald philip kisaka

About the Author

Ukurasa wetu

Author & Editor

Has laoreet percipitur ad. Vide interesset in mei, no his legimus verterem. Et nostrum imperdiet appellantur usu, mnesarchum referrentur id vim.

Chapisha Maoni

 
Ukurasa wetu © 2015 - Mark Mugan| Designed and Developed by Mark Mugan | call +255 673 111 069